Screen Reader Mode Icon
  • English
  • Kiswahili
Chama cha Mabenki Tanzania (TBA) kwa kutambua umuhimu wa wateja wa huduma za kibenki Tanzania kinafanya utafiti huu ili kujua namna ambavyo wateja wanaridhika na Huduma za Kifedha zitolewazo na mabenki. Malengo mahususi ya utafiti huu ni kama ifuatavyo:
  • Kupokea mrejesho wa wateja kuhusiana na huduma za benki na namna zinavyotolewa
  • Kuzitambua changamoto ambazo wateja wanakutana nazo
  • Kujua  hali za ki-demografia kama jinsia, elimu, umri na hali ya kipato, n.k  ili benki ziweze kubuni huduma stahiki kwa makundi maalumu.
  • kupokea mapendekezo kutoka kwa wateja ili kuboresha huduma za kibenki
Asante sana kwa muda wako wa kushiriki katika utafiti. Mrejesho wako ni wa muhimu sana ili kuboresha huduma za kibenki Tanzania.
0 kati ya 21 yamejibiwa
 

T