Utafiti wa 2022!

Hapa Central Massachusetts tunaandaa Mpango Wetu wa Mpana wa Kikanda.
Mpango huu utaongoza ufadhili na vipaumbele vya mipango siku zijazo katike ukanda wa Central Massachusetts. Tungependa kupokea maoni yako kuhusu mambo yaliyo muhimu KWAKO.

Question Title

Image
Hebu tubainishe maoni: Tunawazia nyakati bora kabisa za 2050. Utafiti huu haujumuishi vikwazo vya kibajeti, kuchelewa kwa miradi au maridhiano. Jaza uratibu wako kwa kuzingatia ni vipaumbele vipi vinaafikiana zaidi na maadili yako.
cmrpcregionalservices.org/imagine2050

Question Title

* Asante kwa kushiriki katika utafiti! Endelea kupata taarifa za punde kwa kuweka anwani yako ya barua pepe hapa chini au kwa kutembelea

Question Title

* Ningependa kujiunga na orodha ya wanaopokea barua pepe na kufanikisha mpango wetu:

Ratibu yafuatayo kuanzia 1-10
(1 = kinachofaa kupewa kipaumble cha uwekezaji)

Question Title

* #1 UCHUMI
Kufikia 2050, Ninatazamia Central Massachusetts iliyo na...
(Ukuaji wa kiuchumi wa kieneo na ukuaji wa nguvukazi)

Question Title

* Maoni Mengine:

Ratibu yafuatayo kuanzia 1-10
(1 = kinachofaa kupewa kipaumble cha uwekezaji)

Question Title

* #2 MAZINGIRA
Kufikia 2050, Ninatazamia Central Massachusetts iliyo na...
(Mwingiliano wa viumbe vyote hai , tabia nchi na rasilimali katika eneo fulani)

Question Title

* Maoni Mengine:

Ratibu yafuatayo kuanzia 1-10
(1 = kinachofaa kupewa kipaumble cha uwekezaji)

Question Title

* #3 USAWA
Kufikia 2050, Ninatazamia Central Massachusetts iliyo na...
(Kutendwa kwa namna sawa bila upendeleo kwa uendelevu na utaratibu

Question Title

* Maoni Mengine:

Question Title

* Je, wewe ni wa rangi au kabila gani?
(Chora mviringo kwenye machaguo yote sahihi)

Question Title

* Una umri gani kwa sasa?

Page1 / 1
 
100% of survey complete.

T