Kifaa cha Papo kwa Hapo cha Usaidizi wa Lugha Swahili Question Title * 1. Kwa mizani ya 1 hadi 10, ni kwa kiasi gani kifaa cha papo kwa hapo cha usaidizi wa lugha kiliimarisha uwezo wako wa huduma kwa wateja (1 ikiwa Hakuna Maboresho,10 ikiwa ni Maboresho Makubwa)? 1 10 Clear i We adjusted the number you entered based on the slider’s scale. Question Title * 2. Je, ni kwa jinsi gani kifaa cha papo kwa hapo cha usaidizi wa Lugha kiliathiri mwingiliano wako na huduma yetu kwa wateja? Kuimarika kwa mawasiliano na kikosi chetu cha huduma kwa wateja Suluhu ya haraka kwa matatizo Ufikiaji ulioimarishwa wa habari Nyingineyo, tafadhali bainisha Question Title * 3. Je, unahisi kwamba kuanzishwa kwa kifaa cha kutafsiri lugha kulichangia pakubwa viwango vya ushirikishwaji pamoja na kuwaridhisha wateja kutokana na huduma zetu? Ndiyo, ilisaidia sana Ndiyo, ilisaidia kiasi Hapana, haikusaidia Question Title * 4. Tafsiri ilikuwa sahihi kwa kiasi gani? Sahihi sana Sahihi kiasi Haikuwa sahihi Done